"Cry" ni wimbo kutoka katika albamu ya Michael Jackson ya mwaka wa 2001, Invincible, wimbo umetungwa na mwimbaji wa R&B na mtunzi, R. Kelly, ambaye ndiye aliyekuwa akiimba sauti za nyuma. Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo tatu zilizotungwa na Kelly kwa ajili ya Jackson. Mingine yake ni pamoja na "One More Chance" na "You Are Not Alone".
Muziki wa video wa "Cry" unaonyesha watu wengi wakishikana mikono katika sehemu mbalimbali. Baadhi ya vipande vya mashairi kutoka wimboni: If we all cry, at the same time tonight. Muziki wa video wa wimbo huu uliongozwa na Nick Brandt ambaye pia aliyepiga video za "Childhood" na "Earth Song" kwa ajili ya Michael.[2]
"Say Say Say" · "Somebody's Watching Me" · "Tell Me I'm Not Dreamin' (Too Good to Be True)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cry kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.