Colombo
Mandhari
Colombo | |
Mahali pa mji wa Colombo katika Sri Lanka |
|
Majiranukta: 6°56′04″N 79°50′34″E / 6.93444°N 79.84278°E | |
Nchi | Sri Lanka |
---|---|
Mkoa | Sri Lanka Magharibi |
Wilaya | Wilaya ya Colombo |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 647,100 |
Tovuti: www.cmc.lk |
Colombo ni mji mkubwa wa Sri Lanka wenye wakazi 647,100 (2001).[1] Ilikuwa mji mkuu wa nchi hii tangu mwaka 1814 mpaka mwaka 1978.
Asili ya jina ni neno la Kisinhala "Kolamba" linalomaanisha bandari.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Colombo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |