Cheikh Anta Diop
Mandhari
Cheikh Anta Diop (1923-1986) alikuwa mwanahistoria, mwanaanthropolojia na mwanasiasa nchini Senegal.
Aliandika kuhusu utamaduni wa Afrika, hasa kusini kwa Sahara. Alitaka kuandika historia ya Afrika kabla ya ukoloni.[1] Kazi ya Diop inachukuliwa kuwa msingi wa nadharia ya Afrocentricity, ingawa yeye mwenyewe hakuwahi kujieleza kama mfuasi wa Afrocentricity. Maswali aliyouliza kuhusu upendeleo wa kitamaduni katika utafiti wa kisayansi yalichangia sana mabadiliko ya baada ya ukoloni katika uchunguzi wa ustaarabu wa Kiafrika.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.oxfordreference.com/display/10.1093/acref/9780195337709.001.0001/acref-9780195337709-e-1230
- ↑ Gwiyani-Nkhoma, Bryson (2006). "Towards an African historical thought: Cheikh Anta Diop's contribution". Journal of Humanities (kwa Kiingereza). 20 (1): 107–123. ISSN 2948-0094.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cheikh Anta Diop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |