Nenda kwa yaliyomo

Boeing 737

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Boeing 737-200 mnamo 2009

Boeing 737 ni ndege ya kampuni ya Marekani iitwayo Boeing. Ndege hii ni moja ya ndege ambazo inajulikana sana Duniani.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.