Nenda kwa yaliyomo

Bisau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bisau, Guinea


Jiji la Bisau
Nchi Guinea Bisau
Mahali pa Bisau nchini Guinea-Bisau

Bisau ni mji mkuu wa nchi ya Guinea Bisau ikiwa na wakazi 190,000. Bisau ni mji mkubwa wa nchi na kitovu wa utawala, biashara na viwanda. Biasharanje inapita bandari ya Bisau hasa ni ubao, karanga, mafuta ya mawese na mpira.

Bissau iko kwa pwani ya Atlantiki kwenye delta ya mto Geba.

Mji ulianzishwa na Wareno mwaka 1687 kama boma, bandari na kituo cha biashara.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bisau kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: