Nenda kwa yaliyomo

Bethany England

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bethany England

Bethany England (alizaliwa 13 Juni 1994)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama kiungo au mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza akiwa kama nahodha.[3]

  1. https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce93/pdf/SquadLists-English.pdf
  2. "Bethany England | Official Site | Chelsea Football Club". web.archive.org. 2019-03-06. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-06. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)
  3. "England - B. England - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". uk.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bethany England kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.