Bata-bahari
Mandhari
Bata-bahari | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 11:
|
Mabata-bahari ni ndege wa maji wa nusufamilia ya Merginae katika familia ya Anatidae. Mabata hawa wanaishi baharini hasa nje ya majira ya kuzaa. Wengi wana tezi za chumvi maalum ambazo zinawawezesha kuvumilia maji ya bahari. Mabata-domomeno hupenda zaidi mazingira ya mito.
Mabata-bahari hula samakigamba na gegereka wa chini ya bahari. Mabata-domomeno hula samaki. Meno ya madomo yao yanawasaidia kushika mawindo. Takriban spishi zote zinatokea kanda za kaskazini mbali.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Melanitta nigra Bata-bahari Mweusi (Common Scoter)
- Mergus serrator Bata-domomeno Kidari-chekundu (Red-breasted Merganser)
Spishi za mabara mengine
[hariri | hariri chanzo]- Bucephala albeola (Bufflehead)
- Bucephala clangula (Common Goldeneye)
- Bucephala islandica (Barrow's Goldeneye)
- Camptorhynchus labradorius (Labrador Duck) imekwisha sasa
- Chendytes lawi (Law's Diving-goose) imekwisha sasa
- Clangula hyemalis (Long-tailed Duck or Oldsquaw)
- Histrionicus histrionicus (Harlequin Duck)
- Lophodytes cucullatus (Hooded Merganser)
- Melanitta americana (Black Scoter or American Scoter) (pengine inafikiriwa kama nususpishi ya M. nigra)
- Melanitta deglandi (White-winged Scoter) (pengine inafikiriwa kama spishi ndogo ya M. fusca)
- Melanitta fusca (Velvet Scoter)
- Melanitta perspicillata (Surf Scoter)
- Mergellus albellus (Smew)
- Mergus australis (Auckland Merganser) imekwisha sasa
- Mergus merganser (Common Merganser or Goosander)
- Mergus octosetaceus (Brazilian Merganser)
- Mergus squamatus (Chinese Merganser)
- Polysticta stelleri (Steller's Eider)
- Somateria fischeri (Spectacled Eider)
- Somateria mollissima (Common Eider)
- Somateria spectabilis (King Eider)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Bata-bahari mweusi
-
Bata-domomeno kidari-chekundu
-
Bufflehead
-
Common goldeneye
-
Barrow's goldeneye
-
Labrador duck
-
Long-tailed duck
-
Harlequin duck
-
Hooded merganser
-
Black scoter
-
White-winged scoter
-
Velvet scoter
-
Surf scoter
-
Smew
-
Goosander
-
Steller's eider
-
Pair of spectacled eiders
-
Common eider
-
King eider