Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa
Mandhari
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (kwa Kiingereza: United Nations Human Rights Council, kifupi: UNHRC) lipo katika mfumo wa Umoja wa Mataifa. Baraza hilo (UNHRC) liliundwa na Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuchukua nafasi ya Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (United Nations Commission on Human Rights, CHR).
Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulianzisha UNHRC tarehe 15 Machi 2006. Baraza hili liliundwa kuibadili tume ya Haki za Binadamu ya umoja wa Mataifa kwa sababu hiyo iliziruhusu nchi zenye rekodi mbaya za utunzaji wa Haki za Bianadamu kuwa washirika.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "UN creates new human rights body". BBC. 15 Machi 2006.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://daccess-ods.un.org/access.nsf/Get?Open&DS=A/60/PV.72&Lang=E
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- UN Human Rights Council – official homepage on the OHCHR website
- International Service for Human Rights A Geneva-based, international NGO providing analysis and reporting on developments at the Human Rights Council
- UN Watch A NGO based in Geneva monitoring the work of the Human Rights Council
- UPR Info An international NGO providing analysis and reporting on the Universal Periodic Review
- UN Human Rights Council legal news and resources Ilihifadhiwa 25 Agosti 2012 kwenye Wayback Machine.