Nenda kwa yaliyomo

Aidani wa Ferns

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtakatifu Aidani katika dirisha la kioo cha rangi.

Aidani wa Ferns (pia: Aedan, Aeddan, Aidanus, Edanus, Mo Aodh Og; Maedoc, Mogue[1]; Ziwa Templeport[2] , Ireland, 558 hivi - Ferns, Ireland, 31 Januari 632) alikuwa askofu wa Ferns na kuanzisha huko monasteri, akishika maisha magumu sana.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 31 Januari[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Templeport: Rev. Daniel Gallogy (1979)
  • Bawnboy and Templeport: Chris Maguire (1999)
  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN|0-14-051312-4
  • McFall, T. H. C. "An Account of the History of Ferns Cathedral Church". Dublin: APCK, 1954 (Reprinted 1999 and 2000)

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]
  • Doherty, Charles (2002). "The Transmission of the Cult of St Máedhog". In P. Ní Chatháin and M. Richter. Ireland and Europe in the Early Middle Ages: Texts and Transmission. Dublin.
  • Doherty, Charles. "Leinster, saints of (act. c.550–c.800)". Oxford Dictionary of National Biography. Oxford University Press, 2004. Accessed: 9 February 2009.
  • Gillespie, Raymond. A sixteenth century saint’s life: the second life of St Maedoc, in Breifne Journal, Vol. X, No. 40 (2004), pp. 147–155.
  • Gillespie, Raymond. Saints and Manuscripts in sixteenth century Breifne, in Breifne Journal, Vol. XI, No. 44 (2008), pp. 533–557.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.