Adamu mpya
Mandhari
Adamu mpya, Adamu wa pili au Adamu wa mwisho (1Kor 15:45) ni kati ya majina ya Yesu katika Agano Jipya.[1][2][3]
Humo mara mbili Mtume Paulo anafananisha Yesu na Adamu.
Katika 1Kor 15:22 anasema, "kama vile katika Adamu wote wanakufa, vivyo hivyo katika Kristo wote watafanywa hai" na katika mstari wa 45 unamuita Yesu "Adamu wa mwisho".
Halafu katika Rom 5:12–21 anasema, "kama vile kwa kosa la mtu mmoja wengi wamefanywa wakosefu, vivyo hivyo kwa utiifu wa mmoja wengi watafanywa waadilifu" (Rom 5:19).
Katika teolojia
[hariri | hariri chanzo]Kutokana na Yesu kuitwa Adamu mpya, Bikira Maria alifananishwa na Eva kuanzia karne ya 2 (Irenei), kwa jinsi alivyoshirikiana naye kama Eva mpya.
Katika Kurani
[hariri | hariri chanzo]Quran pia inafananisha Yesu na Adamu kwa jinsi walioumbwa[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Watson E. Mills, Roger Aubrey Bullard, eds, Mercer dictionary of the Bible. 1998, p. 10. ISBN 0-86554-373-9
- ↑ James D. G. Dunn, The Theology of Paul the Apostle. 2006, p. 241 [1]. ISBN 0802844235
- ↑ John MacArthur, Matthew 1–7, Volume 1. 1985, p. 132. ISBN 0802407552
- ↑ Sura Al-Imran says, "Verily, the likeness of Jesus before Allah is the likeness of Adam. He created him from dust, then He said to him: 'Be!' – and he was." http://kaheel7.com/eng/index.php/numeric-miracle/137-amazing-miracle-jesus-and-adam
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Borgen, Peder. Early Christianity and Hellenistic Judaism. Edinburgh: T & T Clark Publishing. 1996.
- Dunn, J. D. G., Christology in the Making, London: SCM Press. 1989.
- Essays in Greco-Roman and Related Talmudic Literature. ed. by Henry A. Fischel. New York: KTAV Publishing House. 1977.
- Ferguson, Everett. Backgrounds in Early Christianity. Grand Rapids: Eerdmans Publishing. 1993.
- Freund, Richard A. Secrets of the Cave of Letters. Amherst, New York: Humanity Books. 2004.
- Greene, Colin J. D. Christology in Cultural Perspective: Marking Out the Horizons. Grand Rapids: InterVarsity Press. Eerdmans Publishing. 2003.
- Holt, Bradley P. Thirsty for God: A Brief History of Christian Spirituality. Minneapolis: Fortress Press. 2005.
- Letham, Robert. The Work of Christ. Downers Grove: InterVarsity Press. 1993.
- Macleod, Donald. The Person of Christ. Downers Grove: InterVarsity Press. 1998.
- McGrath, Alister. Historical Theology: An Introduction to the History of Christian Thought. Oxford: Blackwell Publishing. 1998.
- Neusner, Jacob. From Politics to Piety: The Emergence of Pharisaic Judaism. Providence, R. I.: Brown University. 1973.
- Norris, Richard A. Jr. The Christological Controversy. Philadelphia: Fortress Press. 1980.
- O'Collins, Gerald. Christology: A Biblical, Historical, and Systematic Study of Jesus. Oxford:Oxford University Press. 2009.
- Pelikan, Jaroslav. Development of Christian Doctrine: Some Historical Prolegomena. London: Yale University Press. 1969.
- _______ The Emergence of the Catholic Tradition (100–600). Chicago: University of Chicago Press. 1971.
- Robertson, J. A. T. Redating the New Testament. 2nd ed. Philadelphia: Westminster Press. 1985.
- Schweitzer, Albert. Quest of the Historical Jesus: A Critical Study of the Progress from Reimarus to Wrede. trans. by W. Montgomery. London: A & C Black. 1931.
- Tyson, John R. Invitation to Christian Spirituality: An Ecumenical Anthology. New York: Oxford University Press. 1999.
- Wilson, R. Mcl. Gnosis and the New Testament. Philadelphia: Fortress Press. 1968.
- Witherington, Ben III. The Jesus Quest: The Third Search for the Jew of Nazareth. Downers Grove: InterVarsity Press. 1995.
- _______ "The Gospel of John." in The Dictionary of Jesus and the Gospels. ed. by Joel Greene, Scot McKnight and I. Howard
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adamu mpya kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |