28 Septemba
Mandhari
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 28 Septemba ni siku ya 271 ya mwaka (ya 272 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 94.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1362 - Uchaguzi wa Papa Urban V
- 1823 - Uchaguzi wa Papa Leo XII
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1852 - Henri Moissan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1906
- 1892 - Elmer Rice, mwandishi kutoka Marekani
- 1934 - Brigitte Bardot, mwigizaji wa filamu kutoka Ufaransa
- 1988 - Wema Sepetu, mrembo wa Tanzania mwaka wa 2006
- 1990 - Kirsten Prout, mwigizaji wa filamu kutoka Kanada
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1978 - Papa Yohane Paulo I
- 1991 - Miles Davis, mwanamuziki kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Wenseslaus I, Laurenti Ruiz na wenzake, Alfeo, Aleksanda na Zosimo, Karitoni wa Souka, Zama wa Bologna, Esuperi wa Toulouse, Eustokya wa Roma, Saloni wa Geneva, Fausto wa Riez, Anemondi, Kunialdi na Gisilari, Lioba, Simoni wa Rojas n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-16 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 28 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |