Nenda kwa yaliyomo

23 Mei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Apr - Mei - Jun
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 23 Mei ni siku ya 143 ya mwaka (ya 144 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 222.

Waliozaliwa

[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki

[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Lucho, Montano na wenzao, wafiadini wa Kapadokia waliovunjwa miguu, wafiadini wa Mesopotamia waliochomwa moto, Efebo wa Napoli, Desideri wa Langres, Eutisi wa Nursia, Spes wa Nursia, Honorati wa Subiaco, Siagri wa Nice, Mikaeli wa Sinnada, Gwibati, Yohane Mbatizaji wa Rossi n.k.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 23 Mei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.