17 Mei
Mandhari
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 17 Mei ni siku ya 137 ya mwaka (ya 138 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 228.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1897 - Odd Hassel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1969
- 1900 - Ayatollah Ruhollah Khomeini, kiongozi wa mapinduzi ya Uajemi ya 1979
- 1905 - John Patrick, mwandishi kutoka Marekani
- 1936 - Dennis Hopper, msanii wa Marekani
- 1956 - Annise Parker, mwanasiasa wa Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1336 - Go-Fushimi, mfalme mkuu wa Japani (1298-1301)
- 1592 - Mtakatifu Paskali Baylon, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Hispania
- 1875 - John Breckinridge, Kaimu Rais wa Marekani (1857-1861)
- 1985 - Abe Burrows, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Adrioni, Vikta wa Roma, Erakli na Paulo, Restituta wa Teniza, Emiliani wa Vercelli, Paskali Baylon, Petro Liu Wenyuan, Julia Salzano n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 17 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |