Nenda kwa yaliyomo

Desimita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 19:27, 24 Machi 2015 na Kipala (majadiliano | michango) (+desimeta)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Desimita (pia: desimeta) ni kipimo cha urefu wa sentimita 10 au mita 0.1.

Kifupi chake ni dm.

Kipimo hiki hakitumiki sana isipokuwa na walimu wanaopenda kuwapa wanafunzi mazoezi ya kubadilisha vipimo.

1 dm = 10 cm  ; 1 cm = 0,1 dm 1 dm = 100 mm  ; 1 mm = 0,01 dm