Nenda kwa yaliyomo

Mwanzilishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 22:19, 28 Agosti 2014 na ChriKo (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Mwanzilishi ni jina linalotumika kwa mtu aliyeanzisha muundo au jambo fulani.

Katika historia ya utawa linamaanisha hasa mwanamume au mwanamke aliyejaliwa karama ya pekee iliyovuta watu wengine hata likatokea shirika.