Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Mburu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:35, 17 Desemba 2009 na Mburu (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Mimi ni Solomon Mburu Kamau nilizaliwa mnamo Machi 31 mwaka wa 1981 katika Kikuyu wilayani Kiambu,(kwa sasa inajulinaka kama Kiambu Magharibi) katika Mkoa wa Kati.

Mimi ni mwana wa saba katika familia ya watoto kumi: wavulana wanne na wasichana sita

Mimi huzungumza Kiswahili, Kikuyu na Kiingereza kwa ufasaha.

Nilisomea shule ya msingi ya Madaraka jijini Nairobi kisha nikajiunga na Shule ya Upili ya Nairobi Milimani, pia Jijini Nairobi.


Nimesomea uandishi wa habari na tajiriba yangu huwa uchanganuzi wa mambo ya kisiasa, kiuchumi, kielimu na usitawi wa sehemu za mashambani.

Ninapenda kuandika, kusoma na pia kusafiri.


Kwa hivi sasa mimi ni mkaazi wa Ruiru, katika Wilaya ya Thika

Nilijiunga na shindano hili ili niweze kupanua lugha ya Kiswahili kwa mapana na marefu na kutafsiri kurasa tofauti tofauti zinazojumuisha mambo tofauti yatakayo inua lugha ya Kiswahili katika viwango tofauti tofauti za ustawishaji wa Afrika, kiuchumi, kitamaduni, kisiasa na kibiashara.

Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu lugha mama yake ni Kiswahili.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.


{{{user individual}}}