Nenda kwa yaliyomo

Yaren

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 10:40, 15 Julai 2021 na Mary calist mlay (majadiliano | michango) (#WPWP #WPWPARK)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Yaren

Yaren (zamani iliitwa pia "Makwa") ni tarafa kwenye nchi ya kisiwani cha Nauru yenye nafasi ya mji mkuu. Eneo lake ni 1.5 km² kuna wakazi 1,100 (2003).

Kisheria hakuna mji mkuu nchini Nauru lakini karibu majengo yote ya serikali pamoja na bunge yapo Yaren.

Picha za Yaren

[hariri | hariri chanzo]