Nenda kwa yaliyomo

Donnall Thomas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 15:31, 25 Julai 2020 na Alexander Demetro (majadiliano | michango) (#WPWP#WPWPTZ)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Donnall Thomas

Edward Donnall Thomas (15 Machi, 192020 Oktoba, 2012) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza uhamishaji wa uboho wa mifupa ili kutibu kansa wa damu. Mwaka wa 1990, pamoja na Joseph Murray alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donnall Thomas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.