Nenda kwa yaliyomo

Kijito

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 08:27, 26 Juni 2020 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Kijito

Kijito ni mto mdogo. Hakuna ufafanuzi kamili kuhusu tofauti kati ya kijito na mto. Kijito kwa kawaida huwa na kiasi cha maji yanayotirikia ndani yake kidogo kuliko mto.

Kutegemeana na mazingira kuna vijito vya kudumu au vijito vya muda.

  • Kama kijito kina chanzo endelevu ni kijito cha kudumu.
  • Kama kijito hutegemea mvua tu katika mazingira yenye vipindi vya ukame ni kijito cha muda.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijito kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.