Nenda kwa yaliyomo

Mto Deho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 08:41, 29 Mei 2018 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Mto Deho ni tawimto la mto Jipe Ruvu ambao ni kati ya vyanzo viwili vikuu vya mto Pangani ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa nchi Tanzania).

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]