Yuya Osako (大迫 勇也; amezaliwa 18 Mei 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Kijapani ambaye anachezea kwa Werder Bremen na timu ya taifa ya Japani kama mshambuliaji.

Yuya Osako akiwa kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2018.

Osako alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Japani tarehe 21 Julai 2013 dhidi ya China. Osako alicheza Japani katika mechi 45, akifunga mabao 15.[1]

Takwimu

hariri

[1]

Timu ya Taifa ya Japani
Mwaka Mechi Magoli
2013 6 3
2014 6 0
2015 3 0
2016 2 2
2017 8 2
2018 12 3
2019 8 5
Jumla 45 15

Tanbihi

hariri
  1. 1.0 1.1 Yuya Osako at National-Football-Teams.com
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuya Osako kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.