Ulezi
Ulezi ni mbegu ya mlezi au mwele, aina ya nafaka ambayo hulimwa katika sehemu zenye hali ya ukame, hasa katika Ulimwengu wa Tatu.
Matumizi ya ulezi
haririUnga wake hutumika kutengenezea ugali, uji na kadhalika, hasa kwa wagonjwa.
Pia unatumika kama chachu kutengeneza aina mbalimbali za pombe.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |