Kimaori
Kimaori (reo Māori) ni lugha ya Wamaori ambao ni wenyeji asilia nchini New Zealand.
Kimaori | Kiswahili |
---|---|
Kia ora, Ata mārie, Mōrena! | Siku njema! |
Kia ora! | Habari! |
Kei te pēhea koe? | Habari yako? |
Ae | Ndiyo |
Ehara | Hapana |
Ko wai tōu ingoa? | Jina lako ni nani? |
Nō hea koe? | Unatoka wapi? |
He reo Pākeha tōu? | Unazungumza kiingereza? |
Kia ora. | Asante |
tahi | moja |
rua | mbili |
toru | tatu |
whā | nne |
rima | tano |
ono | sita |
whitu | saba |
waru | nane |
iwa | tisa |
tekau | kumi |
Viungo vya nje
hariri- Omniglot
- Basics Ilihifadhiwa 2 Septemba 2011 kwenye Wayback Machine.
- Kamusi ya kimaori