Maghrib
Maghrib (المغرب العربي al-maġrib al-ʿarabī; pia: Maghreb) ni sehemu ya kaskazini-magharibi ya Afrika.
Siku hizi jina linataja nchi za Moroko, Algeria na Tunisia, wakati mwingine pia Mauretania na Sahara Magharibi.
Zamani lilimaanisha tu maeneo kati ya pwani ya Bahari Mediteranea na vilele vya Milima ya Atlas pamoja na sehemu za Rasi ya Iberia (Hispania kusini na Ureno), Malta na Sisilia zilizotawaliwa na Waislamu.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Politics, economics, and human affairs analysis in the Maghhreb Ilihifadhiwa 7 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Radio Online of the Maghreb Ilihifadhiwa 12 Desemba 2018 kwenye Wayback Machine.
- News and Views of the Maghreb
- News and Views of the Maghreb Ilihifadhiwa 11 Septemba 2017 kwenye Wayback Machine.
- 1887
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maghrib kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |