Kikhün
Kikhün ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Myanmar, Laos na Uthai inayozungumzwa na Wakhün. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kikhün nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 600 nchini Laos (2003) na 6280 nchini Uthai (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhün iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikhün kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikhün Archived 7 Novemba 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikhün katika Glottolog
- lugha ya Kikhün kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikhün kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |