Chelsea F.C.

kilabu ya mpira huko London, Uingereza

Chelsea Football Club[5][6] [7][8]ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Uingereza iliyo na maskani yake Fulham, London. Klabu hii ilianzishwa mwaka 1905, na kwa miaka mingi sana imekuwa ikishiriki ligi kuu ya Uingereza. Uwanja wao wa nyumbani ni Stamford Bridge ambao una uwezo wa kuingiza watazamaji 41,837, wameutumia uwanja huu tangu klabu ilivyoanzishwa.

Chelsea FC
Jina kamiliChelsea Football Club
Jina la utaniThe Blues
The Pensioners (zamani)[1]
Imeanzishwa10 Machi 1905; miaka 119 iliyopita (1905-03-10)[2]
UwanjaStamford Bridge
(Uwezo: 40,341[3][4])
MmilikiTodd Boehly
Clearlake Capital
Hansjörg Wyss
Mark Walter
MwenyekitiTodd Boehly
KochaEnzo Maresca
LigiLigi Kuu Uingereza (EPL)
Tovutitovuti ya klabu
Mfungaji bora wa muda woteFrank Lampard
Rangi nyumbani
Rangi za safari

Chelsea, kwa mara ya kwanza ilipata mafanikio makubwa mwaka 1955, ambapo walipata ubingwa wa ligi, na walishinda mataji kadhaa katika miaka ya 1960, 1970, 1990 na 2000. Klabu hii imefurahia zaidi mafanikio katika miongo miwili ilopita, kwa kushinda mataji makubwa 15 tangu mwaka 1997.

Nyumbani, Chelsea imeshinda ubingwa wa ligi mara nne, kombe la FA mara saba, kombe la ligi mara nne, pamoja na ngao za jamii mara nne. Na kimataifa Chelsea imeshashinda UEFA Cup Winners' Cups mara mbili, UEFA Super Cup moja, UEFA Europa League mara mbili na UEFA Champions League mara mbili. Chelsea ndio klabu pekee kutoka London kushinda UEFA Champions League, na ni moja kati ya klabu nne kutoka Uingereza, kuchukua makombe yote makubwa matatu ya Ulaya.

Kwa kawaida Chelsea huvaa jezi ya bluu, kaptula ya bluu na soksi nyeupe. Nembo ya klabu imebadilishwa mara nyingi kulingana na wakati na kuboresha muonekano wa klabu. Nembo ya sasa inaonesha picha ya simba akiwa amebeba mkuki. Tangu Julai 2003, Chelsea imekuwa ikimilikiwa na bilionea wa Kirusi, Roman Abramovich. Tarehe 7 Mei 2022, Chelsea ilithibitisha kwamba masharti yametimiza na kikundi kipya cha umiliki, kinachoongozwa na Todd Boehly, Clearlake Capital, Mark Walter na Hansjörg Wyss, kununua klabu hiyo.[9] Mnamo tarehe 25 Mei 2022, serikali ya uingereza iliidhinisha kuuzwa kwa Chelsea kwa £4.25bn. Mnamo tarehe 30 Mei 2022, mauzo yalikamilika, na hivyo kumaliza umiliki wa miaka 19 wa Abramovich.[10]

Wachezaji

hariri

Kikosi cha timu ya kwanza

hariri

Kama ilivyokuwa tarehe 10 Agosti 2022, kulingana na vyanzo mseto katika tovuti rasmi.[11]

As of 31 August 2024[12]

Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.

Na. Nafasi Mchezaji
1   GK Robert Sánchez
2   DF Axel Disasi
3   DF Marc Cucurella
4   DF Tosin Adarabioyo
5   DF Benoît Badiashile
6   DF Levi Colwill
7   FW Pedro Neto
8   MF Enzo Fernández
10   FW Mykhailo Mudryk
11   FW Noni Madueke
12   GK Filip Jörgensen
13   GK Marcus Bettinelli
14   FW João Félix
15   FW Nicolas Jackson
17   MF Carney Chukwuemeka
18   MF Christopher Nkunku
Na. Nafasi Mchezaji
20   MF Cole Palmer
21   DF Ben Chilwell (kapteni msaidizi)
22   MF Kiernan Dewsbury-Hall
24   DF Reece James (nahodha)
25   MF Moisés Caicedo
27   DF Malo Gusto
29   DF Wesley Fofana
31   MF Cesare Casadei
37   MF Omari Kellyman
38   FW Marc Guiu

Kigezo:Fs Player

45   MF Roméo Lavia
47   GK Lucas Bergström
  FW Ângelo Gabriel
  FW Jadon Sancho (mkopo kutoka Manchester United)


Nje kwa mkopo

hariri
As of 31 August 2024[13]

Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.

Na. Nafasi Mchezaji
  GK Kepa Arrizabalaga (AFC Bournemouth mpaka Juni 30 2025)
  GK Eddie Beach (Crawley Town mpaka Juni 30 2025)
  GK Luke Campbell (Hendon mpaka Juni 30 2025)
  GK Ted Curd (Hampton & Richmond Borough mpaka Juni 30 2025)
  GK Đorđe Petrović (Strasbourg mpaka Juni 30 2025)
  GK Teddy Sharman-Lowe (Doncaster Rovers mpaka Juni 30 2025)
  GK Gabriel Slonina (Barnsley mpaka Juni 30 2025)
  DF Aaron Anselmino (Boca Juniors mpaka Juni 30 2025)
  DF Trevoh Chalobah (Crystal Palace mpaka Juni 30 2025)
  DF Alfie Gilchrist (Sheffield United mpaka Juni 30 2025)
Na. Nafasi Mchezaji
  DF Bashir Humphreys (Burnley mpaka Juni 30 2025)
  DF Caleb Wiley (Strasbourg mpaka Juni 30 2025)
  DF Dylan Williams (Burton Albion mpaka Juni 30 2025)
  MF Leo Castledine (Shrewsbury Town mpaka Juni 30 2025)
  MF Andrey Santos (at Strasbourg mpaka Juni 30 2025)
  MF Lesley Ugochukwu (Southampton mpaka Juni 30 2025)
  FW Armando Broja (Everton mpaka Juni 30 2025)
  FW Raheem Sterling (Arsenal mpaka Juni 30 2025)
  FW Ronnie Stutter (Burton Albion mpaka Juni 30 2025)


Mchezaji Bora wa Mwaka

hariri
Mwaka Mshindi
1967   Peter Bonetti
1968   Charlie Cooke
1969   David Webb
1970   John Hollins
1971   John Hollins
1972   David Webb
1973   Peter Osgood
1974   Gary Locke
1975   Charlie Cooke
1976   Ray Wilkins
1977   Ray Wilkins
1978   Micky Droy
1979   Tommy Langley
1980   Clive Walker
 
Mwaka Mshindi
1981 Kigezo:Country data SFR Yugoslavia Petar Borota
1982   Mike Fillery
1983   Joey Jones
1984   Pat Nevin
1985   David Speedie
1986   Eddie Niedzwiecki
1987   Pat Nevin
1988   Tony Dorigo
1989   Graham Roberts
1990   Ken Monkou
1991   Andy Townsend
1992   Paul Elliott
1993   Frank Sinclair
1994   Steve Clarke
 
Mwaka Mshindi
1995   Erland Johnsen
1996   Ruud Gullit
1997   Mark Hughes
1998   Dennis Wise
1999   Gianfranco Zola
2000   Dennis Wise
2001   John Terry
2002   Carlo Cudicini
2003   Gianfranco Zola
2004   Frank Lampard
2005   Frank Lampard
2006   John Terry
2007   Michael Essien
2008   Joe Cole
 
Mwaka Mshindi
2009   Frank Lampard
2010   Didier Drogba
2011   Petr Čech
2012   Juan Mata
2013   Juan Mata
2014   Eden Hazard
2015   Eden Hazard
2016   Willian
2017   Eden Hazard
2018   N'Golo Kanté
2019   Eden Hazard
2020   Mateo Kovačić
2021   Mason Mount
2022   Mason Mount

Chanzo: Chelsea F.C.

  • Ligi Kuu (6) 1954-1955, 2004-2005, 2005-2006, 2009-2010, 2011-2012, 2016-2017
  • FA Cup (7) 1970, 1997, 2000, 2007, 2009, 2010, 2018
  • Kombe la Ligi (4) 1965, 1998, 2005, 2007;
  • Ngao ya Jamii (4) 1955, 2000,2005, 2009
  • UEFA Cup Winners' Cup (2) 1971, 1998
  • UEFA Super Cup (1) 1998, 1999, 2003
  • Ligi ya Mabingwa Ulaya (2) 2012, 2021
  • Kombe la Ulaya (2) 2013, 2020
  • Full Members Cup (2) 1986, 1990
  • FA Youth-cup (3) 1960, 1961, 2010

Tanbihi

hariri
  1. "Chelsea's first cup final – a century ago". Chelsea FC. 23 Aprili 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Agosti 2016. Iliwekwa mnamo 25 Julai 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Team History – Introduction". chelseafc.com. Chelsea FC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Mei 2011. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "General Club Information" (kwa Kiingereza). | site=chelseafc.com.
  4. "Premier League Handbook 2020/21" (PDF). Premier League. uk. 12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 12 Aprili 2021. Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Danyal Khan, Jake Stokes (2022-05-03). "Chelsea news and transfers LIVE: Todd Boehly takeover hint, Abramovich fear". Football.London (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-03.
  6. Bobby Vincent (2022-05-03). "Chelsea could look to reunite Lautaro Martinez and Romelu Lukaku in the summer". Football.London (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-03.
  7. Luke Thrower (2022-05-04). "Glen Johnson urges Chelsea to offer Jorginho a new contract amid transfer links". Football.London (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-04.
  8. Luke Thrower (2022-05-04). "Chelsea bidder Lord Coe warns club to find quick takeover solution". Football.London (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-04.
  9. "Club statement". www.chelseafc.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-08-13.
  10. "https://twitter.com/fabrizioromano/status/1531290432327634944". Twitter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-13. {{cite web}}: External link in |title= (help)
  11. "Men: Senior". Chelsea F.C. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
    "Men: On Loan". Chelsea F.C. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  12. "Men: Senior". Chelsea F.C. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Januari 2023. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  13. "Men: On Loan". Chelsea F.C. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Agosti 2022. Iliwekwa mnamo 2 Agosti 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)