Hatari!
Hatari! ni filamu ya Kimarekani ya vichekesho na kimapenzi iliyoongozwa na Howard Hawks mnamo mwaka 1962 na huonyesha kundi la wawindaji wataalamu ndani ya Afrika. [1]. Filamu hiyo ilitengenezwa kaskazini mwa Tanganyika (kwa sasa Tanzania) yenye mwonekano na mandhari ya Mlima Meru.
Wahusika
- Wahusika wakuu
- John Wayne kama Sean Mercer
- Hardy Krüger kama Kurt Müller
- Elsa Martinelli kama Anna Maria "Dallas" D'Alessandro
- Red Buttons kama "Pockets"
- Gérard Blain kama Charles "Chips" Maurey
- Bruce Cabot kama Little Wolf ("The Indian")
- Michèle Girardon kama Brandy de la Court
- Valentin de Vargas kama Luis Francisco Garcia Lopez
- Eduard Franz kama Dr. Sanderson
- Queenie Leonard kama Nesi (kipande kimefutwa)
- Wahusika wengine
- Jon Chevron
- Sam Harris
- Cathy Lewis
- Henry Scott as Sikh Clerk
- Emmett Smith kama Muhudumu wa Bar
- Judy the Chimp
- Jack Williams
Marejeo
- ↑ McCarthy, Todd. Howard Hawks: the grey fox of Hollywood, New York, Grove Press, 1997, pg 572,
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hatari! kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |