Angalia maelezo ya kina ya jinsi unavyotumia simu yako na uache kuitumia unapotaka.
Get a daily view of your digital habits:
• How frequently you use different apps
• How many notifications you receive
• How often you check your phone or unlock your device
Disconnect when you want to:
• Vipima muda vya kila siku katika programu vinakuwezesha kuweka muda wa kutumia programu.
• Kipengele cha Hali tuli hukukumbusha unapofika wakati wa kulala, kwa kuweka ratiba inayowasha mipangilio ya hali ya Kijivu huku kipengele cha Usinisumbue kikizima sauti za arifa ili usisumbuliwe unapolala.
• Kipengele cha Kumakinika hukuruhusu usimamishe programu zinazosumbua kwa kugusa mara moja ili uweze kutumia muda wako vizuri zaidi. Unaweza pia kuweka ratiba ili uwashe kipengele cha Kumakinika kiotomatiki na upunguze usumbufu unapokuwa kazini, shuleni au nyumbani.
Anza kutumia:
• Tafuta Nidhamu Dijitali kwenye menyu ya Mipangilio ya simu yako
Je, una swali? Tembelea Kituo cha Usaidizi: https://support.google.com/android/answer/9346420
Ilisasishwa tarehe
3 Des 2024