Nenda kwa yaliyomo

ukungu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Pitio kulingana na tarehe 17:17, 20 Mei 2023 na XR98 (majadiliano | michango) (wingi unaofaa)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Kiswahili

[hariri]
ukungu mzito

Kitenzi

[hariri]

ukungu (ukungu)

  1. Ni aina ya mawingu mazito meupe ambayo hutanda ardhini na kusababisha hali ya gizagiza kama inavyokuwa asubuhi sana kabla ya mapambazuko. Hali hii huwafanya watu kutoona vizuri.

Tafsiri

[hariri]