24 Juni
Mandhari
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 24 Juni ni siku ya 175 ya mwaka (ya 176 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 190.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1386 - Mtakatifu Yohane wa Kapestrano, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1883 - Victor Hess, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936
- 1893 - Jan Matejko, mchoraji kutoka Poland
- 1927 - Martin Perl, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1995
- 1936 - Paul L. Smith, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1953 - William Moerner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2014
- 1953 - Aloyce Bent Kimaro, mwanasiasa wa Tanzania
- 1960 - Siedah Garrett, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1977 - Amir Talai, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1983 - John Lloyd Cruz, mwigizaji wa filamu kutoka Ufilipino
- 1987 - Lionel Messi, mchezaji wa mpira kutoka Argentina
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 238 - Maximinus Thrax, Kaisari wa Dola la Roma
- 1817 - Mtakatifu Yosefu Yuan Zaide, padri mfiadini wa China
- 1908 - Grover Cleveland, Rais wa Marekani (1885-1889; 1893-1897)
- 1987 - Jackie Gleason, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sherehe ya kuzaliwa mtakatifu Yohane Mbatizaji, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Yohane na Festo, Simplisi wa Autun, Agoardi na wenzake, Rumoldi wa Mechelen, Teodolfi, Goardo na wenzake, Theodgari, Yosefu Yuan Zaide, Maria Guadalupe Garcia n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 20 Januari 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 24 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |