Earth Song
Mandhari
“Earth Song” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya HIStory: Past, Present and Future, Book I | |||||
Imetolewa | Novemba 27, 1995 | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1995 | ||||
Aina | Blues, gospel, opera | ||||
Urefu | 6:46 (toleo la albamu) 4:58 (uharirio wa redio) | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson David Foster Bill Bottrell | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"Earth Song" ni single ya tatu ya Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya tisa ya HIStory: Past, Present and Future, Book I. Ni muziki wa ballad ulitumbukiziwa na elementi za muziki wa blues, gospel na opera. Jackson ana historia ndefu ya kutoa nyimbo zenyekuhusiana na masuala ya kijamii. Nyimbo hizo ni pamoja na "We Are the World", "Man in the Mirror" na "Heal the World". Hata hivyo, "Earth Song" ndiyo wimbo wa kwanza uliohusu sana na masuala ya mazingira na haki za wanyama. Wimbo huu ulitungwa na kuandaliwa na Jackson; katika suala zima la utayarishaji wa kazi hii iligawiwa kati ya Jackson, David Foster na Bill Bottrell.
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (1995) | Nafasi Iliyoshika |
---|---|
Australian ARIA Singles Chart[1] | 15 |
Austrian Singles Chart[1] | 2 |
Belgian (Flanders) Singles Chart[1] | 4 |
Belgian (Wallonia) Singles Chart[1] | 2 |
Dutch Singles Chart[1] | 3 |
Eurochart Hot 100 Singles[2] | 55 |
Finnish Singles Chart[1] | 8 |
French Singles Chart[1] | 2 |
Italian Singles Chart[1] | 15 |
New Zealand RIANZ Singles Chart[1] | 4 |
Norwegian Singles Chart[1] | 4 |
Spanish Singles Chart[1] | 1 |
Swedish Singles Chart[1] | 4 |
Swiss Singles Chart | 1[3] |
UK Singles Chart[1] | 1 |
U.S. Billboard Hot Dance Music/Club Play[4] | 32 |
Chati (2009) | Nafasi Iliyoshika |
Danish Singles Chart[1] | 32 |
Swiss Singles Chart | 4[3] |
UK Singles Chart | 33[5] |
Matunukio
[hariri | hariri chanzo]Nchi | Matunukio | Mauzo |
---|---|---|
Ujerumani | 2X Platin | 1,000,000 [6] |
Switzerland | Platin | 50,000 [7] |
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.00 1.01 1.02 1.03 1.04 1.05 1.06 1.07 1.08 1.09 1.10 1.11 1.12 1.13 "M. Jackson - Earth Song (nummer)". www.ultratop.be. Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2008.
- ↑ "European Hot 100 Singles - Earth Song - Michael Jackson". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-13. Iliwekwa mnamo 5 Desemba 2008.
- ↑ 3.0 3.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
- ↑ "Artist Chart History - Michael Jackson". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-02. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2008.
- ↑ "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.
- ↑ Bundesverband Musikindustrie
- ↑ [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- George, Nelson (2004). Michael Jackson: The Ultimate Collection booklet. Sony BMG.
- Taraborrelli, J. Randy (2004). The Magic and the Madness. Terra Alta, WV: Headline. ISBN 0-330-42005-4.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Earth Song kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |