Trentino-Alto Adige
Mandhari
Trentino-Alto Adige ni mkoa wa Italia wenye katiba ya pekee. Uko kaskazini kabisa mwa rasi ya Italia, ukipakana na Austria katika milima ya Alps.
Unaundwa na wilaya mbili zenye katiba za pekee. Ile ya kaskazini inatumia zaidi lugha ya Kijerumani.
Tazama pia
Viungo vya nje
- (Kiitalia) Tovuti rasmi
Mikoa ya kawaida | |
Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto | | |
Mikoa yenye katiba ya pekee | |
Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta |
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Trentino-Alto Adige kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |