Nenda kwa yaliyomo

Daku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Mfano wa daku nchini Yordani.

Daku ni chakula maalumu ambacho huliwa na Waislamu wakati wa mfungo wa mwezi Ramadhani.

Chakula hicho huliwa usiku wa manane ili kupata nguvu ya kufanya kazi wakati wa mchana baada ya kufunga tangu alfajiri.

Mara nyingi chakula hicho huwa ni:

Inawezekana jina limetokana na neno la Kiarabu linalomaanisha "tangazo", kwa sababu kuna desturi ya kuamshana ili kula daku kabla ya nuru ya jua kuanza kuonekana.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.