Basilika la Mt. Fransisko
Mandhari
Basilika la Mt. Fransisko huko Assisi, (mkoa wa Umbria, (Italia) ni kanisa kubwa lililojengwa kwa muda mfupi (1228-1253) ili kutunza masalia ya Fransisko wa Asizi (1182-1226).
Ni kati ya patakatifu panapotembelewa na watu wengi zaidi, milioni kadhaa kila mwaka.
Kutokana na ubora wa sanaa zake, mwaka 2000 limetangazwa kuwa urithi wa dunia.
Marejeo
- Bellucci, Gualtiero (2001). Assisi, Heart of the World. Assisi: Edizioni Porziuncola. ISBN 88-7135-131-2.
- Bonsanti, Giorgio (1998). The Basilica of St. Francis of Assisi. New York: H.N. Abrams. ISBN 0-8109-2767-5.
- Belting, Hans (1977). Die Oberkirche Von San Francesco in Assisi: ihre Dekoration als Aufgabe u.d. Genese einen neuen Wandmalerei. Berlin: Mann. ISBN 3-7861-1135-9.
- Borsook, Eve (1980). The Mural Painters of Tuscany: From Cimabue to Andrea del Sarto. Oxford: Clarendon Press. ISBN 0-19-817301-6.
- Lunghi, Elvio (1996). The Basilica of St Francis at Assisi. The frescoes by Giotto his precursors and followers. London: Thames & Hudson. ISBN 0-500-27834-2.
- Turner, J. (ed.) (1996). Grove Dictionary of Art. MacMillan Publishers Limited. ISBN 1-884446-00-0.
- Vasari, Giorgio (1998). Vite. Oxford University Press. ISBN 0-19-283410-X.
- Smart, Alastair (1971). The Assisi Problem and the Art of Giotto: a study of the Legend of St. Francis in the Upper Church of San Francesco, Assisi. Oxford: Clarendon Press. ISBN 0-19-817166-8.
Bokody, Péter. "Mural Painting as a Medium: Technique, Representation and Liturgy." In Image and Christianity: Visual Media in the Middle Ages, ed. Péter Bokody (Pannonhalma: Pannonhalma Abbey, 2014), 136-151. https://www.academia.edu/8526688/Mural_Painting_as_a_Medium_Technique_Representation_and_Liturgy
Viungo vya nje
- Saint Francis review - The official review of the Basilica of Saint Francis
- The official website of the Basilica of Saint Francis
- To see the webcam in the tomb of Saint Francis
- The Basilica of Saint Francis
- Frescoes of Pietro Lorenzetti in the lower basilica Ilihifadhiwa 20 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- Frescoes of Simone Martini in the lower basilica Ilihifadhiwa 20 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- Basilica of Saint Francis of Assisi - Italy Ilihifadhiwa 12 Machi 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Basilika la Mt. Fransisko kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |