24 Septemba
Mandhari
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 24 Septemba ni siku ya 267 ya mwaka (ya 268 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 98.
Matukio
- 1973 - Nchi ya Guinea Bisau inajitangaza kuwa huru kutoka Ureno
Waliozaliwa
- 1895 - Andre Cournand, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956
- 1898 - Howard Walter Florey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1945
- 1902 - Ruhollah Khomeini, kiongozi wa dini na wa serikali nchini Uajemi (1979-1989)
- 1905 - Severo Ochoa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1959
- 1912 - Robert Lewis Taylor, mwandishi kutoka Marekani
- 1943 - Randall Duk Kim, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1961 - Fiona Corke
Waliofariki
- 366 - Papa Liberius
- 1143 - Papa Innocent II
- 1637 - Mtakatifu Antonio Gonzalez, padri kutoka Hispania na mfiadini nchini Japani
- 1672 - Tupac Amaru, Inka wa mwisho ananyongwa na Wahispania nchini Peru
- 1721 - Mtakatifu Pasifiko wa San Severino, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1732 - Reigen, Mfalme Mkuu wa Japani
- 1904 - Niels Ryberg Finsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1903
- 1947 - Andrew C. McLaughlin, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1991 - Theodor Seuss Geisel (anajulikana hasa kama Dr. Seuss), mwandishi Mmarekani kwa watoto
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Anatalo wa Milano, Andoki, Tirso na Felisi, Rustiko wa Clermont, Lupo wa Lyon, Isarno wa Marseille, Jeradi Sagredo, Antonio Gonzalez, Pasifiko wa San Severino n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 24 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |