19 Desemba
Mandhari
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 19 Desemba ni siku ya 353 ya mwaka (ya 354 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 12.
Matukio
Waliozaliwa
- 1683 - Mfalme Filipo V wa Hispania
- 1852 - Albert Abraham Michelson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1907
- 1901 - Oliver La Farge, mwandishi kutoka Marekani
- 1903 - George Snell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980
- 1915 - Édith Piaf, mwimbaji wa kike kutoka Ufaransa
- 1929 - Howard Sackler, mwandishi kutoka Marekani
- 1941 - Lee Myung-Bak, Rais wa 10 wa Korea Kusini (2008-2013)
- 1956 - Jens Fink-Jensen, mwandishi Mdani
- 1988 - Alexis Sanchez, mchezaji wa mpira kutoka Chile
Waliofariki
- 401 - Mtakatifu Papa Anastasio I
- 1370 - Mwenye heri Papa Urban V, O.S.B.
- 1953 - Robert Millikan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1923
- 2004 - Herbert Brown, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Anastasio I, Gregori wa Auxerre, Fransisko Ha Thong Mau, Dominiko Buy Van Uy, Thomas Nguyen Van De, Augustino Nguyen Van Moi, Stefano Nguyen Van Vinh n.k.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 19 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |