Nenda kwa yaliyomo

Sitini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:41, 12 Februari 2017 na MCDONALN ALOYCE FUTE (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Sitini (kutoka Kiarabu ستون) ni namba inayoandikwa 60 kwa tarakimu za kawaida na LX kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 59 na kutangulia 61.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 3 x 5.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sitini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.