Vikarieti ya Kitume
Mandhari
Vikarieti ya Kitume ni aina mojawapo ya majimbo ya Kanisa Katoliki ambayo haijafanywa dayosisi kamili, ingawa mara nyingi inaongozwa na askofu: ni kwa sababu huyo anaongoza kwa niaba ya Papa, hasa katika eneo la umisionari. Ndiyo maana anaitwa kwa Kilatini "Vicarius Apostolicus" (yaani "Makamu wa Kitume", ambapo jina hilo la mwisho linadokeza mamlaka ya Papa kama mwandamizi wa Mtume Petro).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Orodha ya Vikarieti za Kitume by GCatholic.org
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vikarieti ya Kitume kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |