Nenda kwa yaliyomo

Uddevalla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:48, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 30 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q27447 (translate me))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Daraja la Uddevalla

Uddevalla ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 30,513 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1498.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 16.92 km². Iko kando ya Byfjorden (Ghuba ya By) ambayo ni mkono wa Kattegat. Umbali na Jiji la Göteborg ni 60 km.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uddevalla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.