Nenda kwa yaliyomo

Utah Jazz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 01:08, 25 Mei 2012 na JackieBot (majadiliano | michango) (r2.7.2) (Roboti: Imeongeza ka:იუტა ჯაზი)

Utah Jazz ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Salt Lake City, Utah. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Deron Williams.

Viungo vya Nje


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Utah Jazz kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.