Nenda kwa yaliyomo

Port-au-Prince

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:23, 30 Januari 2010 na Luckas-bot (majadiliano | michango) (roboti Nyongeza: sl:Port-au-Prince)


Jiji la Port-au-Prince
Nchi Haiti
Faili:Portauprincenasa.jpg
Port-au-Prince inavyoonekana kwa ndege
Mahali pa Port-au-Prince katika Haiti

Port-au-Prince ni mji mkuu wa Haiti mwenye wakazi milioni 2. Iko upande wa magharibi wa kisiwa cha Hispaniola katika hori ya Gonave.

Mji ulianzishwa na Wafaransa mnamo 1749. Tangu 1770 ulikuwa mji mkuu wa koloni ya Ufaransa kiswani badala ya Cap-Haïtien. Baada ya mapinduzi ya Haiti ya 1804 ilikuwa mji mkuu wa Hati huru.

Siku hzi idadi kubwa ya wakazi huishi katika mitaa ya vibanda.


Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Port-au-Prince kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.