Nenda kwa yaliyomo

Alan Hurwitz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rais wa 10 wa chuo kikuu cha Gallaudet

T. Alan Hurwitz (alizaliwa Septemba 17, 1942) ni mwalimu wa Marekani ambaye aliwahi kuwa Rais wa kumi katika chuo kikuu cha Gallaudet kuanzia 2010 hadi 2015. [1]Hurwitz ndiye mtu wa kwanza kuzaliwa kiziwi, na Myahudi wa kwanza, katika nafasi hii.[2]

Marejeo

  1. "Alan Hurwitz", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-02-13, iliwekwa mnamo 2024-07-30
  2. "Alan Hurwitz", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-02-13, iliwekwa mnamo 2024-07-30