Nenda kwa yaliyomo

Odissi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 04:35, 6 Aprili 2023 na Brayson Mushi (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|thumb|292x292px|Odissi ikichezwa '''Odissi''' Pia inafahamika kama Orissi katika fasihi za kale. Ni uchezaji ngoma kubwa ya kale za kihindi ya asili ambayo ilitoka katika mahekalu ya Odisha (jimbo la pwani la mashariki la India).<ref name="britannicaodis">[https://www.britannica.com/art/odissi Odissi] ''Encyclopædia Britannica'' (2013)</ref><ref>{{cite web|title=Guidelines for Sangeet Natak Akademi Ratna a...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Odissi ikichezwa

Odissi Pia inafahamika kama Orissi katika fasihi za kale. Ni uchezaji ngoma kubwa ya kale za kihindi ya asili ambayo ilitoka katika mahekalu ya Odisha (jimbo la pwani la mashariki la India).[1][2] Odissi, katika historia yake, ilikuwa ikichezwa zaidi na wanawake,na kueleza hadithi ya dini na mawazo ya kiroho, hasa ya Vaishnavism kupitia nyimbo zilizoandikwa.[3]

Marejeo

  1. Odissi Encyclopædia Britannica (2013)
  2. "Guidelines for Sangeet Natak Akademi Ratna and Akademi Puraskar". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Oktoba 2013. Iliwekwa mnamo 6 Novemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Sunil Kothari; Avinash Pasricha (1990). Odissi, Indian classical dance art. Marg Publications. ku. 4–6, 41. ISBN 978-81-85026-13-8., Quote: "There are other temples too in Odisha where the maharis used to dance. Besides the temple of Lord Jagannatha, maharis were employed in temples dedicated to Shiva and Shakti."