Halima Abubakar
Mandhari
Halima Abubakar (alizaliwa 12 Juni 1985[1]) ni mwigizaji filamu wa kike nchini Nigeria.[2][3] Mwaka 2011 alishinda tuzo ya Afro Hollywood Best Actress award Akiwa kama mwigizaji bora wa kike.[4][5]
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Abubakar alizaliwa jimbo la Kano lakini kiasili ni mtu wa Kogi.[6] alisoma shule ya msingi ya Ideal primary school huko huko Kano[7]
Mwezi [[April]] [[2020]] alitangaza, kupitia ukurasa wake wa Insatgram, kuwa amejifungua [[mtoto]] wa kiume.[8]
Filamu
[hariri | hariri chanzo]- Slip of Fate
- Tears of a Child
- Secret Shadows
- Gangster Paradise
- Area Mama
- Men in Love (film)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "In Pictures: Halima Abubakar Birthday Shoot". jaguda.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-02-29. Iliwekwa mnamo 7 Oktoba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "I can embarrass you if you get randy with me – Halima Abubakar". vanguardngr.com. Iliwekwa mnamo 7 Oktoba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Halima Abubakar explodes: Why I fought Tonto Dikeh". modernghana.com. Iliwekwa mnamo 7 Oktoba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "2face Idibia and Annie Maculay Lighten Up Halima Abubakar Birthday". gistmania.com. Iliwekwa mnamo 7 Oktoba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Actress Halima Abubakar's cancer support strategy … good or bad?". vanguardngr.com. Iliwekwa mnamo 7 Oktoba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Day I Cried Over My Boyfriend –Actress Halima Abubakar". Daily Sun Newspaper. primenewsnigeria.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Oktoba 2014. Iliwekwa mnamo 7 Oktoba 2014.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "My first…Halima Abubakar". Retrieved on 2020-11-14. Archived from the original on 2014-10-12.
- ↑ Clifford, Igbo. "Halima Abubakar Biography, Age, Early Life, Family, Education, Career, Net Worth And More". Information Guide Africa. Iliwekwa mnamo 2020-04-07.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Halima Abubakar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |