Nenda kwa yaliyomo

Abondi wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:36, 5 Aprili 2021 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Abondi wa Roma''' (alifariki Roma, Italia, karne ya 6) alikuwa akifanya kazi kwa unyenyekevu na uaminifu katika Basilika la Mt. Pet...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Abondi wa Roma (alifariki Roma, Italia, karne ya 6) alikuwa akifanya kazi kwa unyenyekevu na uaminifu katika Basilika la Mt. Petro[1].

Papa Gregori I alisimulia habari na sifa zake katika kitabu Majadiliano.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 15 Aprili[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.