Nenda kwa yaliyomo

Kimaori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 19:08, 16 Januari 2021 na InternetArchiveBot (majadiliano | michango) (Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
New Zealand

Kimaori (reo Māori) ni lugha ya Wamaori ambao ni wenyeji asilia nchini New Zealand.

Kimaori Kiswahili
Kia ora, Ata mārie, Mōrena! Siku njema!
Kia ora! Habari!
Kei te pēhea koe? Habari yako?
Ae Ndiyo
Ehara Hapana
Ko wai tōu ingoa? Jina lako ni nani?
Nō hea koe? Unatoka wapi?
He reo Pākeha tōu? Unazungumza kiingereza?
Kia ora. Asante
tahi moja
rua mbili
toru tatu
whā nne
rima tano
ono sita
whitu saba
waru nane
iwa tisa
tekau kumi

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]