Nenda kwa yaliyomo

Uprogramishaji kiviumbile

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 11:35, 19 Novemba 2020 na UmojaWetu (majadiliano | michango)
Masomo kuhusu uprogramishaji kiviumbele.

Katika utarakilishi, uprogramishaji kiviumbile (kwa kiingereza: object-oriented programming) ni aina ya uprogramishaji ambapo programu zinaumbwa na kuzingatia kuhusu viumbile (vipengelee vya lugha za programu).

Kwa mfano, uprogamishaji kiviumbile unatumika kwenye lugha za programu kama Python au JavaScript.

Marejeo

  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.