Aina ya uprogramishaji
Mandhari
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f2/Jscheme.png/479px-Jscheme.png)
Katika utarakilishi, aina ya uprogramishaji (kwa kiingereza: programming paradigm) ni njia ya kupanga lugha za programu inayotegemea maumbo yao.
Kwa mfano, uprogramishaji kiviumbile inatumika kwenye Python au JavaScript na uprogramishaji kikadhia inatumika kwenye Haskell au PHP.
Marejeo
- Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.