Nenda kwa yaliyomo

Balbinus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 02:20, 23 Julai 2020 na Godson18 (majadiliano | michango) (+Balbinus_Hermitage.jpg #WPWP #WPWPTZ)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mkaizari wa Dola ya Roma, aliyejulikana kwa jina la Balbinus

Decimus Caelius Calvinus Balbinus (takriban 16529 Julai 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma, pamoja na Pupienus, kuanzia 22 Aprili, 238 hadi kifo chake. Walimfuata Gordian II wakiasi dhidi ya Maximinus Thrax.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Balbinus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.