Nenda kwa yaliyomo

Gigabaiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:16, 22 Juni 2020 na UmojaWetu (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|363x363px|[[Kiendeshi diski kuu|Diski kuu ya gigabaiti 500.]] Katika utarakilishi, '''gigabaiti''' (kwa Kiin...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Diski kuu ya gigabaiti 500.

Katika utarakilishi, gigabaiti (kwa Kiingereza: gigabyte) ni kipimo cha taarifa ya tarakimu. Kiambishi awali "giga" kinamaanisha 109 katika Vipimo Sanifu vya Kimataifa. Kwa hivyo, gigabaiti moja ni baiti bilioni moja. "GB" ni gigabaiti kwa kifupi.

Marejeo

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).